Wednesday, June 01, 2011

NO hotuba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo(Jana), Jumanne, Mei 31, 2011, hatalihutubia taifa katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi kama ilivyo kawaida.
Sehemu kubwa ya ujumbe ambao Mheshimiwa Rais angeutoa leo kwa taifa katika mwezi huu wa Mei,tayari ameufikisha kwa wananchi kupitia hotuba kadhaa muhimu alizozitoa mwezi huu ikiwamo ile ya Mei Mosi.

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
31 Mei, 2011

No comments:

Post a Comment