Wednesday, June 08, 2011

MBUNGE wangu anaomba maoni yetu apeleke Bungeni.

Mbunge wa jimbo la Iringa mjini Mchungaji Msigwa akizungumza na wafanyabiashara wa soko kuu la Iringa jana katika mkutano wake wa kukusanya kero na maoni mbali mbali ya wapiga kura wake kabla kuelekea bungeni mjini Dodoma.  (Picha:Francis Godwin)

No comments:

Post a Comment