Akizungumza na waandishi wa Habari nje ya kituo Kikuu cha Polisi Dar es salaam
Akaona haitoshi, akachoma ndani.
Ni majuzi tu Lipumba alilumbana na Chadema kuhusu Baraza kivuli la Mawaziri. Akamponda sana Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni kuwa ni mlafi na king'gng'anizi wa madaraka hivyo wananchi wasimkubali. Sasa anapoenda kituoni kujua hatka ya mtu aliyemchukia sana anatuambia nini watanzania??
No comments:
Post a Comment