Wednesday, June 08, 2011

LEO ni leo, lazima kieleweke. Bajezi ya serikali kusomwa jumatano kwa mara ya kwanza.

Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo akiwa nje ya ukumbi wa Bunge la Tanzania mara baada ya kuharishwa kwa kikao cha kwanza cha mkutano wa nne wa Bunge ulianza jana mjini Dodoma. Waziri huyo anatarajiwa kuwasilisha Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2011/2011 leo

No comments:

Post a Comment