Thursday, June 30, 2011
Saturday, June 25, 2011
Wednesday, June 22, 2011
Tuesday, June 21, 2011
MKANGANYIKO Leo!!!!!
Kiwango cha upole, unyenyekevu na usikivu kinaridhisha. Katika wakati na kipindi hicho....sijui walikuwa wanaongea nini? Nini kilitokea baadae na hata kusababisha matokeo yaliyotokea? Kwa nini? Na nini kitafuata? Lini? Na itakuwaje? Hata maswali yanakanganya! Wenu Mdau Muhimu.
Friday, June 17, 2011
PADRE Musaala aongoza mamia Kongamano la Roho Mtakatifu Iringa.
NIKAPATA nae picha ya Pamoja baada ya kongamano, Kushoto ni Paroko wa Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu.
Thursday, June 16, 2011
KONGAMANO la Roho Mtakatifu Iringa.
Album Ya Jesus Is Coming.
KANISA Katoliki Jimbo la Iringa linakualika katika Kongamano la Roho Mtakatifu Litakalofanyika katika viwanja vya Kichangani kaibu na Parokia Ya Kihesa Iringa Mjini. Mhudumu atakuwa ni Padre Anthony Musaala kutoka Uganda. Usikose uone mapadre wanavyomsifu Mungu. Njoo upokee baraka zako. Tumsifu Yesu Kristu!!!
Sunday, June 12, 2011
MDEGELLA atoa msamaha.
MDEGELA akijieleza kwa waumini wake wa KKKT Iringa Mjini (pichani chini) huku wao wakimsikiliza kwa makini.
Msaidizi wa Mdegela Mch. Blaston Gavile akisikiliza maelezo ya Askofu wake.
Akiendelea kueleza.
ASKOFU wa kanisa la kiinjili la Kilutheri Tanzania (K.K.K.T) Dayosisi ya Iringa Dkt Owderburg Mdegella (pichani ) atangaza kulisamehe bure gazeti la Mwana Halisi na kuwa baadhi ya maaskofu wenzakwe ,wachungaji na waumini wake wake wanamhujumu .
Askofu Dkt Mdegella aliyasema hayo leo mbele ya waumini wa kanisa kuu wakati akitoa tamko la Halmashauri kuu ya dayosisi ya Iringa iliyokutana juzi mjini Iringa kwa ajili ya kuchunguza na kutolea uamuzi wa mwisho dhidi ya tuhuma mbali mbali zilizotolewa na gazeti la Mwana Halisi na baadhi ya mitandao na kuelekezwa kwa askofu huyo.
katika tuhuma hizo zilizotolewa na gazeti la Mwanahalisi toleo namba 243 ikiwa na kichwa cha habari kisemacho Askofu wa KKKT katika tuhuma nzito gazeti hilo lilidai kuwa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Iringa, limetumbukia katika mgogoro mzito na wa aina yake ambao, iwapo busara haitatumika utaweza kuliacha kanisa limekatika vipande viwili, imefahamika.
Askofu Dkt Mdegella aliyasema hayo leo mbele ya waumini wa kanisa kuu wakati akitoa tamko la Halmashauri kuu ya dayosisi ya Iringa iliyokutana juzi mjini Iringa kwa ajili ya kuchunguza na kutolea uamuzi wa mwisho dhidi ya tuhuma mbali mbali zilizotolewa na gazeti la Mwana Halisi na baadhi ya mitandao na kuelekezwa kwa askofu huyo.
katika tuhuma hizo zilizotolewa na gazeti la Mwanahalisi toleo namba 243 ikiwa na kichwa cha habari kisemacho Askofu wa KKKT katika tuhuma nzito gazeti hilo lilidai kuwa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Iringa, limetumbukia katika mgogoro mzito na wa aina yake ambao, iwapo busara haitatumika utaweza kuliacha kanisa limekatika vipande viwili, imefahamika.
Habari hizo ambazo zimetapakaa na hata kuifikia ikulu ya Rais Jakaya Kikwete, vyombo vya habari, polisi na idara ya usalama wa taifa, zinamtuhumu mkuu wa kanisa hilo, Askofu Owdenberg Mdegella kwa ufisadi.
Madai dhidi ya askofu yameorodheshwa katika andishi lenye maneno 2008 lililopelekwa kwa maaskofu wote wa KKKT, ikulu, taasisi (mbalimbali) na vyombo vya habari. Lilisambazwa kwa njia ya baruapepe.
DKt Mdegella alisemas kuwa mchezo mchafu unaofanywa na maaskofu wachache na wachungaji pamoja na waumini wa kanisa hilo na makanisa mengine kwa ajili ya kutaka kuivuruga Dayosisi ya Iringa tuhuma ambazo hazina ukweli wowote na kuwaomba waumini kuzipuuzia tuhuma hizo.
Alisema kuwa mkutano wa Halmashauri kuu ya wachungaji umepuuza taarifa za upotoshwaji zinazotolewa na kuwa uchunguzi na usaliti unaofanywa na kikundi hicho umepuuzwa na kuwa hauna maana yeyote ndani ya kanisa hilo.
Hata hivyo alisema kuwa maamuzi yote dhidi ya uchunguzi na maamuzi ya Halmashauri kuu yatafikishwa kwa mkuu wa kanisa hilo na wajumbe wa Halmashauri kuu na maazskofu wale wachache.
Alisema kuwa hajaona ni vema maamuzi hayo kutolewa mbele ya waumini wote na kuwa kufanya hivyo ni kulivuruga kanisa iwapo mambo mabaya yatatolewa madhabahuni ambako si mahali pake.
'' Kwa hiyo ninyi wakristo nasema hivi yapuuzeni mambo yote mabaya yanayotolewa na wale wasiolitakia kanisa mambo mema na mimi kama askofu wenu ambaye nimechafuliwa napenda kutangaza mbele yenu kuwa nawasamehe wote waliohusika katika mpango wa kunichafua katika gazeti hilo na mitandao pia nawasamehe wale wote waliohusika kufurahia habari hiyo ya uchochezi na mwandishi wa habari hiyo''
Wednesday, June 08, 2011
QUOTES kidogo
Love comes when manipulation stops; when you think more about the other person than about his or her reactions to you. When you dare to reveal yourself fully. When you dare to be vulnerable.By Dr. Joyce Brothers
RATIBA Ya bajeti za wizara mbalimbali.
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BUNGE LA TANZANIA
RATIBA YA JINSI WIZARA ZITAKAVYOWASILISHA BAJETI ZAO KWENYE MKUTANO WA NNE WA BUNGE LA BAJETI
YA MWAKA WA FEDHA 2011/2012
07 JUNI 2011
NA. | TAREHE NA SIKU | SHUGHULI HUSIKA NA WIZARA | IDADI YA SIKU | KAMATI HUSIKA |
1. | JUMATATU–JUMAMOSI 23/5/2011 – 4/6/2011 | Kamati za Sekta kupitia Bajeti | Siku 14 | IDARA YA KAMATI ZA BUNGE/ SHUGHULI ZA BUNGE |
2. | JUMATATU 6/6/2011 | <!--[if !supportLists]-->· <!--[endif]-->Kamati ya Uongozi (Maalum) | Siku 1 | SHUGHULI ZA BUNGE |
3 | JUMANNE 07/6/2011 | Mkutano wa Bunge kuanza kwa shughuli zifuatazo: <!--[if !supportLists]-->· <!--[endif]-->Maswali. <!--[if !supportLists]-->· <!--[endif]-->Briefing. <!--[if !supportLists]-->· <!--[endif]-->Shughuli za Serikali | Siku 1 | IDARA YA SHUGHULI ZA BUNGE |
4. | JUMATANO 08/6/2011 | <!--[if !supportLists]-->· <!--[endif]-->Maswali ya Kawaida. <!--[if !supportLists]-->· <!--[endif]-->Waziri wa Fedha kusoma Taarifa ya Hali ya Uchumi. <!--[if !supportLists]-->· <!--[endif]-->Saa 10 Jioni. Waziri wa Fedha atasoma Hotuba ya Bajeti ya Serikali. | Siku 1 | KAMATI YA FEDHA NA UCHUMI |
5. | ALHAMISI 09/6/2011 | <!--[if !supportLists]-->· <!--[endif]-->Maswali kwa Waziri Mkuu <!--[if !supportLists]-->· <!--[endif]-->Maswali ya Kawaida. <!--[if !supportLists]-->· <!--[endif]-->Shughuli za Serikali | Siku 1 | IDARA YA SHUGHULI ZA BUNGE |
6. | IJUMAA 10/6/2011 | Siku hii imetengwa kwa ajili ya Wabunge kupitia vitabu vya Bajeti | Siku 1 | IDARA YA SHUGHULI ZA BUNGE |
7. | JUMATATU-JUMANNE 13/6/2011-14/6/2011 | Mjadala kuhusu Mpango wa Kwanza wa Maendeleo wa Miaka Mitano(2011/2012-2015/2016) | Siku 2 | KAMATI YA FEDHA NA UCHUMI |
8. | JUMATANO– JUMANNE 15/6/2011 – 21/6/2011 | MAJADILIANO YA BAJETI YA SERIKALI | Siku 5 | KAMATI YA FEDHA NA UCHUMI |
9. | JUMATANO 22/6/2011 | Muswada wa Sheria ya Fedha (Finance Bill, 2011) | Siku 1 | KAMATI YA FEDHA NA UCHUMI |
10. | ALHAMISI - JUMATANO 23/6/2011 – 29/6/2011 | <!--[if !supportLists]-->· <!--[endif]-->Hotuba ya Waziri Mkuu <!--[if !supportLists]-->· <!--[endif]-->Hotuba ya Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI<!--[if !supportFootnotes]-->[1]<!--[endif]--> <!--[if !supportLists]-->· <!--[endif]-->Majumuisho ya Waziri Mkuu | Siku 5 | KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA |
11. | ALHAMISI - IJUMAA 30/6/2011 - 1/7/2011 | <!--[if !supportLists]-->· <!--[endif]-->Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) <!--[if !supportLists]-->· <!--[endif]-->Mahusiano na Uratibu | Siku 2 | KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA |
12. | JUMATATU-JUMANNE 4/7/2011-5/7/2011 | OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO na MAZINGIRA) | Siku 2 | KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA |
13. | JUMATANO NA IJUMAA 6/7/2011 NA 8/7/2011 | WIZARA YA MAJI | Siku 2 | KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI |
14. | JUMATATU 11/7/2011 | WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA | Siku 1 | KAMATI YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA |
15. | JUMANNE 12/7/2011 | WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA. | Siku 1 | KAMATI YA MIUNDOMBINU |
16. | JUMATANO - ALHAMISI 13/7/2011 - 14/7/2011 | WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII. | Siku 2 | KAMATI YA HUDUMA ZA JAMII |
17. | IJUMAA NA JUMATATU 15/7/2011 NA 18/7/2011 | WIZARA YA NISHATI NA MADINI | Siku 2 | KAMATI YA NISHATI NA MADINI |
18. | JUMANNE - JUMATANO 19/7/2011-20/7/2011 | WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI | Siku 2 | KAMATI YA HUDUMA ZA JAMII |
19. | ALHAMISI 21/7/2011 | WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO. | Siku 1 | KAMATI YA MAENDELEO YA JAMII |
20. | IJUMAA 22/7/2011 | WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA | Siku 1 | KAMATI YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA |
21. | JUMATATU – JUMANNE 25/7/2011 - 26/7/2011 | WIZARA YA KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA. | Siku 2 | KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI |
22. | JUMATANO 27/7/2011 | WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI. | Siku 1 | KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI |
23. | ALHAMISI - IJUMAA 28/7/2011 - 29/7/2011 | WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI. | Siku 2 | KAMATI YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA |
24. | JUMATATU - JUMANNE 1/8/2011 - 2/8/2011 | WIZARA YA UJENZI | Siku 2 | KAMATI YA MIUNDOMBINU |
25. | JUMATANO- ALHAMISI 3/8/2011 - 4/8/2011 | WIZARA YA UCHUKUZI | Siku 2 | KAMATI YA MIUNDOMBINU |
26. | IJUMAA 5/8/2011 | WIZARA YA KAZI NA AJIRA | Siku 1 | KAMATI YA MAENDELEO YA JAMII |
27. | JUMANNE - JUMATANO 9/8/2011 - 10/8/2011 | WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA. | Siku 2 | KAMATI YA VIWANDA NA BIASHARA |
28. | ALHAMISI - IJUMAA 11/8/2011 - 12/8/2011 | WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO. | Siku 2 | KAMATI YA MAENDELEO YA JAMII |
29. | JUMATATU - JUMANNE 15/8/2011 - 16/8/2011 | WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI | Siku 2 | KAMATI YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA |
30. | JUMATANO – ALHAMISI 17/8/2011 - 18/8/2011 | WIZARA YA MALIASILI NA UTALII | Siku 2 | KAMATI YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA |
31. | IJUMAA 19/8/2011 | WIZARA YA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI | Siku 1 | KAMATI YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA |
32. | JUMATATU 22/8/2011 | WIZARA YA KATIBA NA SHERIA | Siku 1 | KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA | ||
33. | JUMANNE 23/8/2011 | WIZARA YA FEDHA | Siku 1 | KAMATI YA FEDHA NA UCHUMI | ||
34. | JUMATANO 24/8/2011 | <!--[if !supportLists]-->(i) <!--[endif]-->Miswada ya Sheria ya Serikali Appropriation Bill, 2011; <!--[if !supportLists]-->(ii) <!--[endif]-->Statements of Reallocation Warrants ( <!--[if !supportLists]-->(iii) <!--[endif]-->Majibu ya Serikali (Treasury Notes) kuhusu Taarifa za Kamati za Kudumu za Bunge za PAC, LAAC na POAC ; <!--[if !supportLists]-->(iv) <!--[endif]-->Hoja za Kamati; <!--[if !supportLists]-->(v) <!--[endif]-->Maazimio | Siku 1 | KAMATI YA FEDHA NA UCHUMI | ||
35. | ALHAMISI 25/8/2011 | Semina ya Wabunge kuhusu Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba. | Siku 1 | KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA | ||
36. | IJUMAA 26/8/2011 | Shughuli za Serikali. | Siku 1 | KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA | ||
37. | JUMATATU-JUMANNE 29/8/2011 - 30/8/2011 | <!--[if !supportLists]-->· <!--[endif]-->Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba. | Siku 2 | KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA | ||
38. | JUMATANO 31/8/2011 | <!--[if !supportLists]-->· <!--[endif]-->HOJA YA KUAHIRISHA BUNGE | Siku 1 | WAZIRI MKUU | ||
MWISHO | ||||||
*Tarehe 23/06/2011 zitasomwa Hotuba tatu, ya kwanza itahusu masuala ya Sera, Uratibu na Bunge; ya pili itahusu masuala ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa; na ya tatu itahusu masuala ya Uwekezaji na uwezeshaji. Waziri Mkuu atahitimisha kwa kuomba Fedha za Makadirio ya Matumizi za Mafungu yote kwa mwaka wa Fedha 2011/2012
Subscribe to:
Posts (Atom)