Mwenyekiti
wa Chadema Washington DC Kalley Pandukizi na Mbunge wa Iringa mjini Mh
Peter Msigwa wakiwa Capital Hill Washington DC.
Kutoka
kushoto no Mbunge wa viti maalum Chadema Mh Leticia Nyerere, Mbunge wa
Arumeru Mashariki Mh Joshua Nassari, Mwenyekiti wa Chadema Washington DC
Kalley Pandukizi na Mbunge wa Iringa Mjini Mh Peter Msigwa.
Mbunge wa Arumeru Mh Joshua Nassari akiwa Capita Hill.
Mbunge Wa Arumeru Mashariki Mh Joshua Nassari na Mbunge wa Iringa Mjini Mh Peter Msigwa.
Waheshimiwa wabunge wakiwa mbele ya Jengo la Ikulu ya Marekani White House.
Mh
Peter Msigwa, Mwenyekiti wa Tawi Washngton DC Kalley Pandukizi na Mh
Joshua Nassari mbele ya Jengo la Ikulu ya Marekani White House.
Cosmas
Wambura mmoja kati ya Wanachama wa Chadema Marekani akiwa na
Waheshimiwa wabunge mbele ya jengo la Ikulu ya Marekani White House.
No comments:
Post a Comment