Tuesday, July 05, 2011

MKANGANYIKO Leo...!!! "ARI Zaidi, Nguvu zaidi, na Kasi zaidi" viko wapi???

UJUMBE wangu kwa Adella.



Mpendwa Adella,

USIWE na mapapara, maisha kuparamia,
Ujiweke imara, ukubali kuvumilia,
Hata kupata harara, uwe radhi kuvumilia,
Ndoa kweli msalaba, yataka uvumilivu.


ADELLA, bahari haivukwi kwa kuogelea.
Best of luck Mama. You are grown up enough now,
an expected mother. Tangulia sisi twaja. Msalimie shemeji.

CLASSMATE wangu aliukataa ukapera mwezi uliopita. Ni Adella Peter.

Ilikuwa ni furaha siku hiyo Adella ndani ya Shela

Hapa akiwa na mwanamajengo Raya Said akimpa kampani mtoto A.D. Dah!!! It was very very fantastic!! CONGRATULATION ADELLA!!!

TAREHE 18 July hadi 29 July nipo kwenye U.E (University Exams) Niombeeni wadau.