Tarehe 10 ndiyo siku niliyokuja hapa Iringa. Japo nilichelewa kidogo mjini Morogoro kwa sababu ya matengenezo ya gari tulikaa kwa muda hadi kuanza kwa safari tena mnamo saa kumi jioni kuelekea Iringa. namshukuru Mungu kwa kufika kwangu na asanteni kwa sala zenu. Nawatakia mafanikio na tarajieni makubwa.